WACHEZAJI 24 WANAOONDOKA NA SIMBA SC LEO KWENDA NIGERIA MECHI NA PLATEAU UNITED IJUMAA
WACHEZAJI 24 wataondokea KIA leojioni kwenda Abuja, Nigeria kupitia Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Ijumaa.
0 comments:
Post a Comment