TANZANIA BARA YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA SOMALIA NA DJIBOUTI MICHUANO YA CECAFA U20
TANZANIA imepangwa Kundi A pamoja na Somalia na Djibouti kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-20) kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 inayotarajiwa kuanza Novemba 22 hadi Desemba 2 Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment