KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME
Kipa wa Azam FC, David Mapigano kisu baada ya kikosi cha Azam FC kuwasili mjini Musoma mkoani= Mara leo mchana tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Biashara United Jumatatu Uwanja wa Karume mjini humo.
0 comments:
Post a Comment