MCAMEROON ALAIN AKONO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC YAWACHAPA KMKM 2-0 CHAMAZI
MABAO ya Ayoub Lyanga dakika ya 78 na Mcameroon Alain Thierry Akono dakika ya 90 jana yaliipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment