SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA AFRICAN SPORTS YA TANGA AZAM COMPLEX
Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa African Sports ya Tanga katika mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya bila kufungana leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment