MZAMBIA LWANDAMINA ALIYEWAHI KUFUNDISHA YANGA SC ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA AZAM FC
Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina (kushoto) leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha klabu ya Azam FC. Amesaini ofisi kuu za klabu zilizopo Mzizima, barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia).
0 comments:
Post a Comment