SIMBA SC YARIDHIA MASHABIKI WOTE KUINGIA BENJAMIN MKAPA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAMOSI
Taarifa hii inafuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupinga tamko lililotolewa Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Sunday Manara kwamba mechi dhidi ya Plateau United wataruhusiwa kuingia mashabiki wa Simba SC pekee.
0 comments:
Post a Comment