KAMATI YA KOVA YAUAGIZA UONGOZI WA SIMBA KUMPELEKA MKUDE MUHIMBILI AKAFANYIWE VIPIMO VYA AFYA KABLA YA HUKUMU YAKE
KAMATI ya Nidhamu ya klabu ya Simba imeuagiza uongozi wa Simba SC kumpeleka kiungo wake Jonas Gerald Mkude kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya hukumu yake ya tuhuma za kinidhamu.
Item Reviewed: KAMATI YA KOVA YAUAGIZA UONGOZI WA SIMBA KUMPELEKA MKUDE MUHIMBILI AKAFANYIWE VIPIMO VYA AFYA KABLA YA HUKUMU YAKE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment