Mwanzo > LIGI KUU BARA > COASTAL UNION YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA COASTAL UNION HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KMC LIGI KUU BARA COASTAL UNION YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA BAO pekee la Mbaraka Hamza kwa penalti dakika ya 37 limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Wednesday, August 17, 2022 COASTAL UNION HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KMC LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment