AZAM FC KUCHEZA NA ZESCO YA ZAMBIA KATIKA AZAMKA JUMAPILI CHAMAZI
KLABU ya Azam FC itamenyana na ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji l Dar es Salaam kwenye tamasha lake maalum, lililopewa jina Azamka.
0 comments:
Post a Comment