TIMU ya Ruvu Shooting imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ihefu SC jioni ya leo Uwanja wa Hghland Estate, Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya. Bao pekee la Ruvu Shooting katika mchezo huo limefungwa na nyota wake, Ally Bilal dakika ya 19.
0 comments:
Post a Comment