Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA ZESCO CHAMAZI AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA ZESCO CHAMAZI KIUNGO wa Azam FC, Tape Edinho akimtoka mchezaji wa ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki jana kuhitimisha tamasha laAzamka Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Timu hizo hazikufungana. Monday, August 15, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment