MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza ubabe baada ya kuichapa AFC Bournemouth mabao 4-0 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mabao ya Man United yamefungwa na Ilkay Gündoğan dakika ya 19, Kevin De Bruyne dakika ya 31, Phil Foden dakika ya 37 na Jefferson Lerma aliyejifunga dakika ya 79.
0 comments:
Post a Comment