MKURUGENZI wa Azam FC, Yusuf Bakhresa jana alikutana na wachezaji kupanga mikakati ya msimu ujao. Bakhresa aliyekuwa na Mwenyekiti, Nassor Idrissa 'Father', amefanya usajili kabambe kwa ajili ya kuipa mafanikio timu hii msimu ujao, akisajili wachezaji wenye viwango vya hali ya juu.
0 comments:
Post a Comment