NAMUNGO, MBEYA CITY, PRISONS NA IHEFU ZAREJEA VIWANJA VYA NYUMBANI
BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeziruhusu klabu za Mbeya City, Tanzania Prisons, Ihefu SC na Namungo FC kutumia viwanja vyao vya nyumbani katika Ligi Kuu. Hatua hiyo inafuatia kukamilika kwa ukarabati juu ya mapungufu yaliyosababisha kufungiwa kwa viwanja vyao.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment