WENYEJI, Southampton jana wametoka nyuma na kuichapa Chelsea mabao 2-1 Uwanja wa St Mary's. Raheem Sterling alianza kuifungia Chelsea dakika ya 23, kabla ya Southampton kutoka nyuma kwa mabao ya Romeo Lavia dakika ya 28 na Adam Armstrong dakika ya 45 na ushei.
0 comments:
Post a Comment