Mwanzo > TWIGA STARS > TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUTETEA KOMBE LA COSAFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TWIGA STARS TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUTETEA KOMBE LA COSAFA KIKOSI cha timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kimeondoka leo kuelekea Afrika Kusini kwenye mashindano ya COSAFA, wao wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe hilo baada ya kulitwaa 2021. Monday, August 29, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TWIGA STARS
0 comments:
Post a Comment