RAIS MO DEWJI ATETA NA WACHEZAJI SIMBA WAIPIGE YANGA LEO
RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji jana amekutana na kuongea na wachezaji kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii leo dhidi ya mahasimu, Yanga SC Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment