NAMUNGO YATOKA SULUHU NA CHIPUKIZI KOMBE LA MAPINDUZI
TIMU ya Namungo FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Chipukizi katika mchezo wa Kundi D Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Sasa Namungo FC watalazimika kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Aigle Noir ya Burundi keshokutwa ili kuangalia nafasi ya kwenda Nusu Fainali.
0 comments:
Post a Comment