Mwanzo > NAMUNGO FC > NAMUNGO FC YAANZA NA KICHAPO CHA JKT 1-0 RUANGWA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA NAMUNGO FC NAMUNGO FC YAANZA NA KICHAPO CHA JKT 1-0 RUANGWA BAO la Martin Kigi dakika ya 43 limeipa mwanzo mbaya Namungo FC nyumbani baada ya kuchapwa 1-0 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Tuesday, August 15, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA NAMUNGO FC
0 comments:
Post a Comment