PAUL RWECHUNGURA NA MALOTA PAMBA NA SIMBA 1991 KIRUMBA
KIPA Paul Rwechungura wa Pamba SC akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Malota Soma ‘Ball Jagler’, huku beki James Washokera (kulia) akiwa tayari kutoa msaada katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sisi Ligi Kuu) Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza mwaka 1991
0 comments:
Post a Comment