Mwanzo > YANGA > YANGA SC YAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAKE WA KIGENI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI NGAO YA JAMII YANGA YANGA SC YAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAKE WA KIGENI KLABU ya Yanga imewasilisha vibali vya wachezaji wake 12 wa kigeni tayari kwa michuano ya timu nne ya Ngao ya Jamii inayotarajiwa kuanza leo Jijini Tanga. Wednesday, August 09, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI NGAO YA JAMII YANGA
0 comments:
Post a Comment