WASIO NA LESENI MARUFUKU KUCHEZA NGAO YA JAMII TANGA
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba wachezaji ambao hawatakuwa wamekamilisha taratibu za usajili na kukabidhiwa leseni hawataruhusiwa kucheza mechi za Ngao ya Jamii zinazoanza kesho Jijini Tanga.
0 comments:
Post a Comment