TFF YAZIKUMBUSHA KLABU KUFUATA LESENI ZA WACHEZAJI KARUME
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu kufika makao makuu ya bodi hiyo ya kabumbu nchini kuchukua leseni za wachezaji zilizowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
0 comments:
Post a Comment