AZAM, COASTAL, SIMBA NA YANGA ZATAKIWA KUKAMILISHA JAMBO CAF
KLABU za Azam FC, Coastal Union, Simba na Yanga zinatakiwa kuwa zimetuma maombi ya leseni za klabu kwa ajili ya ushiriki wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho hadi kufika Juni 15, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment