TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO
PAMOJA na dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC Tanzania na madaraja ya chini kwa wanawake na wanaume kufunguliwa Juni 15 - lakini klabu za Biashara United, Fountain Gate Talents FC, Singida Black Stars, Tabora United na Yanga SC hazitaruhusiwa kusajili hadi ziwalipe wachezaji wanaozidai.
0 comments:
Post a Comment