WAWILI WAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SIMBA KWA TUHUMA KUKOSA UADILIFU
KLABU ya Simba imefungia kujihusisha na masuala ya klabu hiyo wanachama wake wawili, Mohamed Khamis 'Dk. Mohamed' na Agness Daniel 'Aggy Simba' kwa tuhuma za kufanya makosa ya kiuadilifu.
0 comments:
Post a Comment