LUSAJO MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA WA KUFUNGIA MSIMU LİGİ KUU
MSHAMBULIAJI wa Mashujaa FC ya Kigoma, Reliants Lusajo Mwakasugule (34) ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi wa mwisho, Mei huku Juma Ramadhani Mgunda wa Simba SC akiibuka Kocha Bora.
0 comments:
Post a Comment