Mwanzo > SIMBA > MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI KİUNGO wa Kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone amekuwa mchezaji wa nne kuachwa Simba SC baada ya kiungo mwenzake, Mrundi Saido Ntibanzokiza na washambuliaji, Shaaban Iddi Chilunda na John Raphael Bocco. Wednesday, June 19, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment