LİGİ KUU YA SUDAN KUFANYIKA CHAMAZI KESHO HADİ MWISHO WA MWEZI
MICHUANO maalum ya Ligi Kuu ya Sudan inatarajiwa kufanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijiji Dar es Salaam kuanzia kesho hadi Juni 30 ikishirikisha timu tatu, Al Wadi Nyala, A Hilal na Al Merreikh.
0 comments:
Post a Comment