RAIS WA FIFA AIMWAGIA PONGEZI YANGA KUTWAA TENA UBINGWA WA TANZANIA
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kutwaa kwa mara nyingine tena ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
0 comments:
Post a Comment