AZAM FC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA TIMU YA WANAWAKE
ILI kukidhi matakwa ya Kanuni ya Leseni za Klabu na kupata sifa za kucheza michuano ya klabu barani Afrika - klabu ya Azam FC imeingia makubaliano ya ushirikiano na timu ya wanawake ya Singida Fountain Gate Princess kwa mwaka mmoja.
0 comments:
Post a Comment