Mwanzo > YANGA > FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifutia Yanga SC adhabu ya kutosajili mchezaji mpya baada ya kukamilisha malipo ya mshambuliaji wake wa zamani, Mzambia Lazarous Kambole. Wednesday, June 26, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment