Mwanzo > YANGA > YANGA YAFUTIWA ADHABU YA TMS, BADO YA KAMBOLE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA YAFUTIWA ADHABU YA TMS, BADO YA KAMBOLE KLABU ya Yanga imefutiwa adhabu ya kutosajili kwa kosa la kutoingiza uthibitisho wa malipo ya usajili wa mchezaji kwenye mfumo wa usajili, TMS - lakini bado inakabiliwa na adhabu nyingine kwa kutomlipa mchezaji iliyemuacha, Mzambia Lazarous Kambole. Thursday, June 06, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment