KIUNGO wa zamani wa Kimataifa wa Tanzania, Steven Nyenge akisikiliza kwa makini mafundisho ya Kozi ya Maboresho (Refresher) ya Diploma B ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) yanayoendelea Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mnyanjani Jijini Tanga.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI



.png)
0 comments:
Post a Comment