KOCHA wa timu ya taifa ya Hispania, Vicente del Bosque amemtema mshambuliaji wa Chelsea, Fernando Torres kwenye kikosi cha mabingwa hao wa Ulaya na Dunia kitakachocheza mechi ya kirafiki dhidi ya
Venezuela mjini Malaga Jumatano. Del Bosque amesema kutakuwa na mabadiliko kwenye kikosi kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya itakayofanyika Ukraine na Poland, kwani anataka kiundwe na wachezaji ambao wamekuwa wakicheza vizuri siku za karibuni. "Ni babu kubwa, tunamkubali na inaniuma kumuacha, lakini lazima nitende haki," alisema Del Bosque kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari.
Swap Salah for Haaland? The FPL talking point
-
Mohamed Salah or Erling Haaland? As is so often the case, choosing between
the two superstars is the big talking point among FPL managers this week.
0 comments:
Post a Comment