Mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani, Youssou N'Dour akiwa katika Mkutano wa wapinzani kabla ya kutawanywa na Polisi katikati ya Jiji la Dakar leo. Wapinzani Senegal wanaomba ulinzi mpya kufuatia hofu inayotokana na vurugu zinazoendela kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu ambao rais Abdoulaye Wade anawania kwa mara ya tatu mfululizo ingawa anapingwa na wengi. Youssou N'Dour anagombea urais.
Three things we learned from Chelsea draw as tactical tweak unlocks new
blueprint
-
A juggling act on the wing produced a far better team performance against
Liverpool
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment