Bondia Maneno Oswald 'Mtambo wa Gongo' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam kesho. Kushoto ni mpinzani wake Rashidi Matumla akishuhudia na kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi (PST), Anthony Lutta akiongoza zoezi hilo leo.
0 comments:
Post a Comment