• HABARI MPYA

    Monday, June 11, 2012

    EXTRA BONGO KUTUMBUIZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TZ


    MWENYEKITI wa chama cha waandishi wa habari za michezo Tanznia (TASWA) Juma Pinto (Kati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuzo za wanamichezo bora zibnazotolewa na chama hicho, kulia ni Katibu Mkuu wa Taswa Amiri Mhando na kushoto no meneja Uhusiano wa SBL Iman Lwiga, Bendi ya  muziki wa dansi ya Extra Bongo inatarajiwa kutumbuiza katika hafla hiyo itakayofanyika JUni 14 katika ukumbi wa Diamond Jubillee VIP.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EXTRA BONGO KUTUMBUIZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top