• HABARI MPYA

    Saturday, June 02, 2012

    MISS TABATA 2012 NI HUYU HAPA


     Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar. Tano Bora. Kumi Bora. Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
    Warembo waliofanikiwa kuingia tano Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutangazwa kwa mshindi wa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
    (Picha kwa hisani ya Michuziblog.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MISS TABATA 2012 NI HUYU HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top