• HABARI MPYA

    Sunday, June 03, 2012

    TAIFA STARS NA IVORY COAST KATIKA PICHA

     Wachezaji wa Taifa Stars, Amir Maftah kifua wazi, Salum Abubakar kulia, Deo Munishi nyuma na Waandishi Eddo Kumwembe kulia na Mukuza kushoto, wakipiga picha na Drogba baada ya mechi
    Michael Mukuza wa Exexutive Solutions akimsalimia Mwanasoka Bora Afrika, Yaya Toure
    Hatari langoni mwa Ivory Coast: Kipa wa Ivory Coast akiokoa moja ya mashambulizi ya Taifa Stars. Taifa Stars ilifungwa 2-0.

    Shughuli; Mbwana Samatta akishughulika mbele ya Kolo Toure

    Didier Drogba chini ya ulinzi wa Kelvin Yondan 'Vidic' 

    Solomo Kalou akimtoka |Shaaban Nditi
    Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akiwania mpira na beki wa Ivory Coast, Jean-Jaques Gosso Gosso wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi. Stars ilifungwa mabao 2-0.
    Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akiruka juu sambamba na kipa wa timu hiyo, Boubacar Barry kuokoa mpira kwenye lango la timu yao wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan juzi. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
    Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Siaka Tiene wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi  ambapo  Stars ilifungwa mabao 2-0.

    Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akiruka juu sambamba na kipa wa timu hiyo, Boubacar Barry kuokoa mpira kwenye lango la timu yao wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan juzi ambapo Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
    Beki wa Ivory Coast Siaka Tiene akimfanyia madhambi mshambuliaji wa Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.

    Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Yaya Toure wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
    Fair play! Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akipeana mkono na John Bocco 'Adebayor' wa Kilimanjaro Taifa Stars (kulia) mara baada ya kumalizika kwa mechi ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abuja juzi. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.

    Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mbwana Samatta akimtoka beki wa Ivory Coast Alexandre Lolo wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
    Beki wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Amir Maftah (kulia) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Ivory Coast Gervas Yao wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi Stars ilifungwa mabao 2-0.
    Beki Aggrey Morris (kulia) na kiungo Shaban Nditi (kushoto) wa Kilimanjaro Taifa Stars wakimkaba Didier Drogba wa Ivory Coast wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan juzi ambapo Ivory Coast ilishinda mabao 2-0
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA IVORY COAST KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top