• HABARI MPYA

    Sunday, June 03, 2012

    UZINDUZI WA SKY LIGHT BAND ULIVYOFANA MAFIAN FISH LOUNGE USIKU HUU

    Waheshimiwa; Vicky Kamata kushoto na Omary Kimbau katika ukumbi wa Mafian Fish Lounge, Masaki, Dar es Salaam, usiku huu wakati wa uzinduzi wa bendi ya Sky Lght uliofana. 

    Vicky Kamata kushoto na shosti wake


    Watu wakila bata zao kwa raha zao

    Mwimbaji akiimba 


    Mwimbaji akiimba kwa hisia kali


    Mwimbaji akiimba kwa hisia


    Mwimbaji akitumbuiza

    Khadija Ulomi kulia na......

    Full raha, Vicky Kamata na shosti wake 

    Vicky Kamata na shosti wake

    Wanamuziki wakitumbuiza

    Wageni rasmi; Washiriki Miss Dar Inter College wakila bata

    Wageni rasmi; Washiriki Miss Dar Inter College wakila bata

    Mduara

    Watu wakiserebuka

    Mduara

    Watu wakila bata zao

    Vicky Kamata na shosti wake


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UZINDUZI WA SKY LIGHT BAND ULIVYOFANA MAFIAN FISH LOUNGE USIKU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top