• HABARI MPYA

    Saturday, November 02, 2013

    AZAM NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA LEO CHAMAZI, MKONO WA BIN ZUBEIRY NDANI YA AZAM COMPLEX

    Kiungo wa Ruvu Shooting, Hassan Dilunga akigombea mpira wa juu na kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo, Uwanja wa Azam Complez, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 3-0.

    Elias Maguri wa Ruvu Shooting kulia akimtoka beki wa Azam FC, Erasto Nyoni

    Kipre Tchetche wa Azam akimtoka beki wa Ruvu Shooting

    Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akimdhibiti kiungo wa Ruvu Shooting, Hassan Dilunga

    Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Ruvu

    Joseph Kimwaga wa Azam akijiandaa kupiga krosi dhidi ya mabeki wa Ruvu

    Aggrey Morris akitoa pasi mbele ya mabeki wa Ruvu

    Waziri Salum akimvisha kanzu beki wa Ruvu kabla ya kutia krosi iliyozaa bao la pili la Azam

    Humphrey Mieno wa Azam katikati ya wachezaji wa Ruvu

    Joseph Kimwaga akimtoka beki wa Ruvu 

    Kipre Tchetche na beki wa Ruvu

    Shangwe za wachezaji wa Azam

    Mashabiki Azam Complex

    Shabiki huyu wa Ruvu alikuwa anawatukana sana wachezaji wa timu yake kwamba wao huwa wanapania Simba na Yanga tu

    Kikosi cha Azam

    Kikosi c ha Ruvu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA LEO CHAMAZI, MKONO WA BIN ZUBEIRY NDANI YA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top