![]() |
| Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya Rodrick Kabwe wa Zambia kushoto |
![]() |
| Mbwana Samatta akichuana na Nahodha wa Zambia, Bronson Chama kulia |
![]() |
| Mrisho Ngassa akimpiga tobo beki wa Zambia, Rodrick Kabwe |
![]() |
| Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka Sydney Kalume wa Zambia kulia |
![]() |
| Felix Katongo wa Zambia akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Stars, Athumani Iddi 'Chuji' |
![]() |
| Haikuwa riziki; Kipa Ivo Mapunda na beki wake Said Mourad wakitoka uwanjani baada ya mechi |
![]() |
| Walikosekana; Kiungo Frank Domayo kushoto akiwa na mshambuliaji Thomas Ulimwengu wakifuatilia mechi hiyo jukwani |
![]() |
| Wachezaji wa zamani Tanzania, Kitwana Manara 'Popat' kushoto na Joe Kadenge wa Kenya kulia walikuwepo Nyayo |
![]() |
| Wachezaji wa zamani wa Tanzania |
![]() |
| Erasto Nyoni akimtoka Felix Katongo |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka Rodrick Kabwe |
![]() |
| Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Zmbia |
![]() |
| Haroun Chanongo kulia akimtoka Kabaso Chongo |
![]() |
| Wachezaji wa Stars wakinawa maji baada ya mchezo kusimama kutokana na kulipuliwa kwa mabomu ya machozi na Polisi dakika ya 88 wakipambana na mashabiki wa Kenya waliotaka kuingia uwanjani bure |
![]() |
| Kujiokoa dhidi ya mabomu |
![]() |
| Mrisho Ngassa kulia na Amri Kiemba kushoto wakikimbia mabomu. Mchezo ulisimama dakika ya 88 hadi baada ya dakika sita ukaendelea |



















.png)
0 comments:
Post a Comment