• HABARI MPYA

    Sunday, June 08, 2014

    ENGLAND WATUA BAZIL NA ULINZI MKALI WA JESHI

    KIKOSI cha England kimetuz Brazil leo baada ya safari ya saa nane na nusu angani tayari kwa Kombe la Dunia.
    Vijana wa Roy Hodgson waliwasili majira ya saa 8.30 mchana mjini Rio de Janeiro baada ya kupaa katika anga ya Florida, Marekani usiku wa jana.
    Baada ya kutua timu hiyo liana safari nyingine ya saa moja kuelekea hotel ini kwao, karibu na Ipanema Beach.

    Wamewasili: Kikosi cha England baada ya kuwasili Rio de Janeiro
    Three Lions: England stars Wayne Rooney and Frank Lampard walk down the steps of the plane after landing
    Three Lions: England stars Wayne Rooney and Frank Lampard walk down the steps of the plane after landing
    Three Lions: Nyota wa England, Wayne Rooney na Frank Lampard wakishuka kwenye ndege
    Keeping guard: Brazilian military line up outside the Royal Tulip hotel ahead of England's arrival
    Ulinzi: Wanajeshi wa Brazil wakiwa wamejipanga mstari nje ya hotel ya Royal Tulip wakati England wanawasili
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND WATUA BAZIL NA ULINZI MKALI WA JESHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top