• HABARI MPYA

    Tuesday, June 10, 2014

    WAZEE WA MGOMO CAMEROON WALIVYOTUA BRAZIL


    Wazee wa mgomo: Wacheaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini kwao jana.
    Alex Song
    Samuel Eto'o
    Nyota wa timu: Alex Song (kushoto) na Samuel Eto'o kulia wakishuka kwenye ndege tayari kwa safari ya kambini kwao
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZEE WA MGOMO CAMEROON WALIVYOTUA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top