• HABARI MPYA

    Sunday, July 20, 2014

    MCHEZAJI KIBONGE ZAIDI DUNIANI ALIVYOWAHENYESHA CHELSEA JANA

    MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea jana.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
    Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.
    Chini ya ulinzi: Adebayo Akinfenwa akidhibitiwa na Nahodha John Terry
    Powerhouse: The AFC Wimbledon forward put in an excellent display against Chelsea
    Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea
    Battler: Akinfenwa challenges for the ball with Chelsea's Marco van Ginkel
    Akinfenwa akigombea mpira na Marco van Ginkel wa Chelsea
    Wrestler: And fights for possession with Oriol Romeu
    Hapa anapambana na Oriol Romeu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI KIBONGE ZAIDI DUNIANI ALIVYOWAHENYESHA CHELSEA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top