Wachezaji wa Everton wakiwa hoi jana Uwanja wa NSK Olimpiyskiy mjini Kiev, baada ya kufungwa mabao 5-2 na wenheji Dynamo Kiev katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Europa League hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 6-4, baada ya awali kushinda 2-1 nyumbani.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3003070/Dynamo-Kiev-5-2-Everton-agg-6-4-Andriy-Yarmolenko-sets-tone-Toffees-chewed-crash-Europe.html#ixzz3UsTkewyT
0 comments:
Post a Comment