• HABARI MPYA

    Thursday, March 19, 2015

    PLUIJM 'ALIPOMTOLEA UVIVU' MSHIKA KIBENDERA WA TABORA TAIFA JANA

    Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm 'akimkoromea' mshika kibendera namba moja, Martin Mwaliaje wa Tabora jana baada ya kunyoosha kibendera kuashiria mchezaji wa Yanga ameotea katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1.
    Lakini Mwaliaje hakuonekana kabisa kumjali Pluijm 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PLUIJM 'ALIPOMTOLEA UVIVU' MSHIKA KIBENDERA WA TABORA TAIFA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top