• HABARI MPYA

    Thursday, March 19, 2015

    NI KWELI PENALTI YA YANGA JANA ILIKUWA 'FEKI'?

    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akishangilia baada ya kufunga kwa penalti bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Penalti hiyo ilitolewa baada ya Msuva mwenyewe kuangushwa na  Job Ibrahim nje kidogo ya boksi. Hata hivyo, refa Andrew Shamba amelalamikiwa na kocha wa Kagera wa kutoa penalti isiyo halali.
    Hapa Job anajiandaa kucheza rafu
    Na hapa ndipo alipomkwatulia na kufanikiwa kuupitia pia na mpira kuutoa kwenye himaya ya winga huyo machachari. Je, kocha wa Kagera yuko sahihi kulalamikia penalti hii?

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI KWELI PENALTI YA YANGA JANA ILIKUWA 'FEKI'? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top